I miss You By Diamond Platinumz

download

I miss You By Diamond Platinumz

Hello hapo vipi sijui unanisikia
Hello nnamaneno natamani kukwambia
Hello tafadhari usije nikatia
Hello ona mpaka nasahau kusalimia
Habari ghani leo nmekukumba sana
Na mama yangu twakuwazagaa
Vipi nyumbani hali ya mumeo na wana
Na aunty Shani wa chimwagaa ah ah
Kile kidonda changu cha roho bado
kinanitia
tabu
Nnajitaidi kukaza roho ila nadhidisha
adhabu
Tena silali oh nasubiri maajabu
Maumivu yangu hayajapata dawa
Mana I miss you nakukumbuka iye iyeh
I miss you nakukumbuka iye iyeh
I I miss you nakukumbuka iye iyeh
I miss you nakukumbuka iye iyeh
Na roho yangu mama bingili bingili
Ah nikikuwaza bingili bingili
Nikisinzia bingili bingili bayoyo
Oh nikilala bingili bingili
Inama inuka uwoh bingili bingili
Yani sina raha bingili bingili bingili bayoyo
Ah iyeeeh ah iyeeeh
Tatizo kwetu sijui nini kosa langu
Mpaka nikawa adui ghafla ukanichukiaga
Nawaza ila siambui ama shida zangu
Simba nikawa chui mi roho inaniumaga
Yawezekana ahadi zangu zisizotimia
Ndio maana haukutaka kusubiria
Nasema nyama mwisho wa siku naleta
bamia
Chai mchana usiku dona kurumaghia
Nilitamani sana ila Nguvu yangu palinishia
Ningalikua na uwezo ningekutimizia
Mingali unafuraha haya maumivu
ntayavumilia
Ila japo nambie ivi unanifikiria maana eh
eeh
Nakukumbuka iyeeh iyeh nakumkumbuka
sana ooh
I miss you nakukumbuka iye iyeh
I miss you nakukumbuka iye iyeh
I miss you nakukumbuka iye iyeh
I miss you nakukumbuka iye iyeh
Na roho yangu mama bingili bingili
Ah nikikuwaza bingili bingili
Nikisinzia bingili bingili bayoyo
Oh nikilala bingili bingili
Inama inuka uwoh bingili bingili
Yani sina raha bingili bingili bingili bayoyo
Hata nikilala bingili bingili
Nikikuwaza bingili bingili
Nikilala mama bingili bingili bayoyo
Ooh na roho yangu mama bingili bingili
Aaah Nikikuwaza bingili bingili bayoyo
Nikisinzia bingili bingili bayoyo

download Nyimbo mpya