Nasema Nawe Lyrics By DiamondPlatinumz and Khadija Kopa

download

Nasema Nawe Lyrics By Diamond
Platinumz and Khadija Kopa

Diamond Platnumz “Nasema Nawe” Lyrics
(ft Khadija Kopa)

Verse 1

Halloo, mmh!
Ah, kutwa kiguru njiani, majirani wote
wamekuchoka
Mara chumba cha fulani, mtu gani we
kwako
usiokaa
Washinda vibarazani, ya wenzako kuropoka
Kwa kuwa umemuona fulani ona uso
ulivyokukoboka
Sio mwisho vibaoni, hadi kwenye vigodoro
Usio na haya usoni, kote wazua migogoro
Hivi wewe haujioni, kuwa una kasoro
Uso mchana jioni si wajuzi si tomorrow
Sio mwisho vibaoni, kwenye vigodoro
Usio na haya usoni, kote wazua migogoro
Hivi wewe haujioni, kuwa unakasoro
Uso mchana jioni, si wajuzi si
Ah!
Chorus
Nasema nawe
Nasema nawe
Nasema nawe
Uso haya nasema nawe (Umezoea)
Nasema nawewe (Kunichezea chezea)
Nasema nawe (Ah umezidi)
Nasema nawe (Zidi) (zidi)
Nimechoka nasema nawe
(Hehee
Huna haya kama kibakuli cha pumba
Popote unajitokeza babu eh
Haa
We kichoji tu
Unaingia kwenye kundi la ninga
Utachanika mabawa)
Verse 2
Mh, mh
Ah! zingifuri zingifuri, ungezinga mahala
ukakaa
Usio mila desituri usiyejua tongozwa
ukakataa
Usio hiana fedhuli uongo umekujaa
Kujifanya mashuhuri kumbe chaka
umechakaa
Agah! Mwenzako mimi turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa
Tena jokari la nguvu makarata
Lile hodari maguvu si kwasakwasa
Oh! mwenzako mimi turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa
Aah!
Chorus
Nasema nawe
Nasema nawe
Nasema nawe
Uso haya nasema nawe
Nasema nawewe
Nasema nawe
Nasema nawe
Nimechoka nasema nawe (umezoea)
Nasema nawewe (kunichezea chezea)
Nasema nawe agah! umezidi)
Nasema nawe (zidi) (zidi)
Uso haya nasema nawe
Nasema nawewe
Nasema nawe
Nasema nawe
Nimechoka nasema nawe
(Wewe
umejifunza ngumi leo wataka upigane na
Tyson
Haa!)
Ale kaka ah ah kata
Katika si! kata
Oh nteteme nteteme
Wenye kusema wao waseme
Ale kaka ah ah kata
Katika si! kata
Kiuno chako mwenyewe
Mola amekupa wewe

Nipe vya bara na pwani
Vile vya nje na ndani
Tumkomeshe fulani

Nipe vya bara na pwani
Vya nje na ndani
Akome fulani
Mmh.
(Haloo
Tavunja … mwaka huu
Maana nazi zimepanda bei eeh)
Thomas!..
Chorus
Nasema nawe
Nasema nawe
Nasema nawe
Uso haya nasema nawe
Nasema nawewe
Nasema nawe
Nasema nawe
Nimechoka nasema nawe (umezoea)
Nasema nawewe (kunichezea chezea)
Nasema nawe (agah! umezidi)
Nasema nawe (zidi) (zidi)
Uso haya nasema nawe
Nasema nawewe
Nasema nawe
Nasema nawe
Nimechoka nasema nawe

download Nyimbo mpya