Now You Know Lyrics by Nyashinski

download

Huyo ni fala mgani anaweka ma mngari
Kwa list juu ya ferrari yeah
Ana degree au ni journalist tu juu ana list
(whoop)
Naskia wakiuliza ule boy wetu alienda
wapi
Amepotea ka zile mbegu watu walipanda
na kanyari ye ye yeah
Na naskia inasemekana
Ati rap zangu hukam na mkazo na ile
utamu ya reggae mama
Ma ordinary wanankubali na hata watiaji
hawaezi kana
Kuna wale hupenda sauti yangu na iko
wale husengenyana
Mama mama
Kijana wako amepotea
Ni maskio tu ye anatoboa huku ndugu
zake wakiendelea
Mwenyezi pekee anaeza muokoa
kimaisha amelegea
Ingawa hatuoni akitoboa bado twazidi
kumuombea amina
Yeah sionangi haja ya ufisi
Sina njaa najua mpishi
Sijai fanya kazi ya ofisi
Sijai lala ka sijadishi
Sijarap kitu ka kutoka ’06 ivi
Trust me siezi rust mimi
Ata niache mziki miaka hamsini
Nikirudi bado nawacrush nyinyi
Niko first mi ndani ya party
“Skukaa siku mingi nikuachie nafasi ya
kuchoka na mimi— Nyashinski
Hapo katikati napiga mic check
Juu niko party na niko night shift
Nilikuwa busy sikuwa najificha
Clearly you rappers missed your teacher
Vitu mnaandika zinachoma picha
Nikiwish singewacha kuwafundisha
Sauti naskia ni
Don’t waste your time wishing you’re
too proud my baby
Too proud to wish they had an easy way
out
Let times get tough so they remember
you’re a blessing
When life is good they will forget to say
Naulizwa mbona niliacha mziki
Ati nilikuwa mkali juu ya mic na
namissiwa na mashabiki
Niliacha game mapema hata kabla refa
hajapiga firimbi
Bila kwaheri ati walishtukia tu ati kuna
klepto mmoja haimbi
Samahani nimepotea
Shukrani kwa wale wamenifikiria
Hizo miaka zote nimekuwa missing lakini
iko kitu hamjaniambia
Kaa ningebaki bado ungekuwa na taki ya
kuskia nikiwaimbia
Ama by saa hii mngekuwa mnanifanya
vile mnafanya ma pioneer
Story kwa media ati nimechapa niko juu
ya madawa nahangaika
Show ni ule jamaa aliimba ‘Ada Ada’ ebu
come ucurtain raisie mnaija
It’s not that serious rap ni hobby
Bila mziki bado namanga
Ingekuwa career si ningekuwa nalia
kuskia ati Naija Night Nairobi
Ambia new comer asijifeel sana we ni
mgeni siku ya kwanza tunakupenda
Ukikaa kaa tutachoka na wewe ivo ndio
kuuenda
Mi ni ule mgeni alikaa siku mbili tu
Skukaa siku mingi nikuachie nafasi ya
kuchoka na mimi
So now you know

download Nyimbo mpya