Unikumbushe Lyrics Bahati ft Rayvanny

download

Unikumbushe Lyrics Bahati ft
Rayvanny

Unikumbushe Lyrics Bahati ft Rayvanny

Usiponiona leo kama jana kesho
unikumbushe
Sipo kua leo kama jana kesho
unikumbushe.
Usiponiona leo kama jana kesho
nikumbushe
Sipo kua leo kama jana kesho
unikumbushe.
(Nikumbushe, unikumbushe)×2

RAYVANNY
Leo nyota imengaa, nasahau nilikotoka
Naidharau mitaa na mateso niliyosota
Ndugu zangu ni kinyaa, mafukara
wananichosha
Niwaache wafe na njaa, nijisifu
nitawanyosha
Sili kwetu kisumu bondo chakula haina
swagga
Sitaki kula chapo dondo nataka pizza na
bugger
Uniepushe maulana nisiishie njiani
Unikumbushe ya jana kesho nipe dhamani
Kwenye maisha ya muziki, ukiwa na
upendo
utaishi.
Timu hazijengi urafiki tusije kuuana kwa
kugombania Viti
Eti nimuwache mama kwenye dhiki
Kisa mambo yangu yametiki
Akipiga simu siishiki, nikipokea nimuone
kama
shafiki.

CHORUS

Usiponiona leo kama jana kesho
nikumbushe
Sipo kua leo kama jana kesho
unikumbushe.
Usiponiona leo kama jana kesho
nikumbushe
Sipo kua leo kama jana kesho
unikumbushe.
(Nikumbushe, unikumbushe) ×2

BAHATI

Nimejawa kiburi, upole haupo na mii
Ulinifunza kadili mama, simuiti mummy
Nimejawa na uhuni, star najiona mii
Nikipita na kagari vumbi natupia wadhii.
Niwe kama Peter kumkana Yesu Mara tatu
nikumbushe
Niwe kama Jonah, kukataa kutumwa
Nineveh
nikumbushe
Mwanabuja Leo nipe suppoti
Namtusi mradi iwe Kiki
Walinipa jina mashabiki Leo nawaona
manafiki

Usiponiona leo kama jana kesho
nikumbushe
Sipo kua leo kama jana kesho
unikumbushe.
Usiponiona leo kama jana kesho
unikumbushe
Sipo kua leo kama jana kesho
unikumbushe.

(Nikumbushe, unikumbushe)×2

Bahati, Rayvanny, Unikumbushe Lyrics

download Nyimbo mpya