Music Lyrics

NINA ONE LYRICS By Eko Dydda

download

NINA ONE LYRICS

INTRO

Mikono juu, hands ina di oxygen, hands ina
di nitrogen, hands ina di air !!! JESUS
ameni keep that’s Daddy care !!! Genius na
nili skip hata baby care !!! CHORUS
Ukiniona ndani ya building ujue nina
ONE!!! YESU ndani feeling ni am a winner
man!!! 2 Nasema wori du !! wori du !!
wori du !! Hakuna worry tu !! worry tu !!
worry tu !!
2 VERSE 1 YOU make me go
crazy crazy Mathare ndio hood !!! Praise
HIM praise HIM na talent iko juu !!! Nataka
kuimba worship kwa ring nipe Mic…
Tyson !!! Before niimbie G.O.D KING of
kings on your marks…Lights on !!! Mapenzi
yako BABA mina chizi jo !!! Life imeni
bamba niko easy jo !!! Shetani enda zako
niko busy jo !!! Wacha kunichekeshea hizi
doo !!! Sipendi vile tuna vituko !!! Sipendi
vile tuna sifu GOD !!! Sipendi vile tuna sifu
ganji badala ya kusifu MUNGU mwenye
ametupa doo !!! Itabaki vile tuna fanya vitu
imebadilika pole pole buda boss !!!
Advertisement ya usafi hawanawi mikono
after ku share…Twitter handle !!! My
burden unto YOU…sita handle !!! VERSE 2
Kwa life mina take it easy…misi shtuki !!!
Why lie stajifanya busy…misi nyuki !!!
Unapenda GOD… saree boys enda !!! Life
ni short… Staree boys centre !!! Kwa class
nifundishe sina coins mina take notes !!!
This is the voice of change mina take
notes !!! Nyumba yangu NAWE iwe same
team !!! Chenye unasema nafanya same
thing !!! Kwako niko on time kama watch
man !!! Wewe ndio my coach man !!!
Kondoo kati ya wild animals na hawawezi
kuni poach man !!! Haha Okay !! okay !!
okay !!! Ati mbona una shtuka there is
nothing new under the sun !!! Aliye na
MWANA anaushuda there is something
new under the SON !!! Wori du !! wori du !!
wori du !! Hakuna worry tu !! worry tu !!
Worry tu VERSE 3 WE ndio KING nafuata
YOUR decrees !!! At YOUR feet itabaki
nime decrease !!! KING wangu aliishi
ghetto so hata niwe na do ka Kirubi
naweza ishi Dii Kriss !!! JESUS is THE TRUE
VINE, mini branch na bare fruit of the
Holy Spirit mp3 !!! Bila HOLY SPIRIT mini
empty tree !!! Rabbit zina fast ju
tumedunga carrots !!! Kwa dhambi mdomo
fast utadhani parrot !!! My DADDY is so
caring !!! Dhambi ziko scary !!! Zina sura
mbaya but none of them can scare me !!!
The world is cold ka metal !!! Although am
soft ka petal !!! Nipe gold ka medal !!! Ju
mini yule runner my FATHER runs this
town !!! HE runs this universe !!! HE runs
this MCs niite Run D Mc !!!

eko dydda, nina one

download Nyimbo mpya

Leave a Reply