Ray Vanny “Chuma Ulete” Lyrics

download

Nahisi nina bahati mbaya kipi nilicho kosea
Nikijaribu kutafuta shida ndo zinakolea
Mifukoni hali mbaya sio kama najitetea
Ile pesa ya kusuka mbona nilikuletea
Mawazo yani yananikolea
Nikupe nini usijepotea
Ndubura yani inanyong’onyea
Lilinde penzi lisije teketea
Vitunguu mboga za majani laki tano kwenye
genge
Nyama tu nikupe million kwani unapika
kenge
Si jana tu nimelipa pochi na doti za vitenge
Viatu juu ulivyojumua kama una duka
mwenge
Chuma ulete chuma ulete
Usiwe chuma ulete
Nisije kubadili jina ninakuita Chuma Ulete
Chuma ulete mama chuma ulete
Usiwe chuma ulete
Nisije kubadili jina ninakuita Chuma Ulete
Pesa sio nguvu za milundi kunyenyua jiwe
juu chini
Tukitoka unakuja na kundi gharama zote juu
yangu mimi
Unanasa pesa kama gundi sasa mimi
nitumie nini
Kila siku kushona kwa fundi kama mpambaji
wa shuhulini
Eti nguva inaita mara mapande sita
Mshazali umeshika hakuna fashion inakupita
eeh
Juzi ulikunja ndita wataka mchele tani sita
Mama mbona unanitisha kwani unafutulisha
Mawazo yani yananikolea
Nikupe nini usijepotea
Ndubura yani ninanyong’onyea
Lilinde penzi lisije teketea
Vitunguu mboga za majani laki tano kwenye
genge
Nyama tu nikupe million kwani unapika
kenge
Si jana tu nimelipa pochi na doti za vitenge
Viatu juu ulivyojumua kama una duka
mwenge
Chuma ulete chuma ulete
Usiwe chuma ulete
Nisije kubadili jina ninakuita Chuma Ulete
Chuma ulete mama chuma ulete
Usiwe chuma ulete
Nisije kubadili jina ninakuita Chuma Ulete

Vibe Download Button

Leave a Reply