During a live session on IG, Vanessa Mdee revealed much on her ended relationship with Juma Jux. Vanessa Mdee puts an end to claims that she got dumped by Juma Juxx after being unable to have kids while others say that she was disrespecting the fella.
“So mimi ningependa kusema kitu kimoja
hususan kwa wale watu ambao wananitukana kupitia mitandao ya kijamii. Mimi ni mtu ambaye anajiheshimu na naheshimu kazi yangu naheshimu sanaa naheshimu brand yangu ambayo nimejenga
kwa muda mrefu sana. Wale ambao wanaanza kunitusi mimi, ati mimi ni Malaya oh mimi ni tasa oh mimi nilikuwa nakataa kuolewa oh mimi nilikuwa namdharau Juma….”
Vee Money continued to share more.
“Juma na mimi tumeachana tuna miezi zaidi ya tisa. Tumeachana for a long long long long time. Tumeachana in a way tulikua tunajua kwamba tukifanya public ita affect watu wengi isitoshe sisi tuna vitu vingi ambazo tunafanya kwa pamoja kibiashara, tuna vitu mingi ambavyo tulikua tunamiliki pamoja in terms of like joint interests.
Kuna vitu ambavyo tulikua tumepanga kufanya kwa pamoja and that was the reason why hatukupaswa kutangaza kuachana kwetu mapema,” said Vanessa Mdee.