NEWSSports News Ruling On Christiano Ronaldo Unruly Behaviour August 15, 2017 FacebookTwitterWhatsAppTelegramPinterestLinkedin Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amefungiwa kucheza michezo 5. Mchezo 1 kutokana na kadi nyekundu na Michezo 4 kwa kosa la kumzonga na kumsukuma Mwamuzi.