Digiri lyrics by willy paul msafi

download

Digiri lyrics by willy paul msafi

Intro

Binguni hakuna digiri, mungu wangu hana
digiri, malaika hawana digiri, Adam na Eve
hawakuwa na digiri…
Some of you call me WILLY PAUL WILLY
POZZE, some of you call me just POZZE
heaven material!!!
Verse 1
Leo nina mambo, nitatoboa mambo,
natakasema mambo, kama Rambo, sio
Rambo kanambo, Rabuka mambo,
Mambo×3
Ukiniyima gilasi, hio sio mambo bali ni
diambo na italeta mambo,
Tuonyeshane upendo simungu alisema ati
tuwe na upendo, sio vita ka mama wa
kambo.
Wengine wajidai ati wamesoma sana,
waezi shirikiana na watu wajasoma,
Wacha nikusho binguni hakuna shule sote
tuko equal. Hio tu ni mambo.
Pre-chorus
Wacha nikusho siri moja, huitaji awards
kuingia heaven, wacha nikusho siri moja
huitaji digiri kuingia heaven×2
Binguni hakuna digiri, Mungu wangu hana
digiri, malaika hawana digiri, Adam na Eve
hawakuwa na digiri ( digiri ×6)
Verse 2
Mmmmh Njeri usimulenge omondi,
mmmh Njeri, usimulenge!!
Unaweza mlenga kumbe unaye mlenga
ndiye yule mmoja umekuwa ukimsaka, na
itakuwa ni mambo, na mambo ni mambo,
Alisema atakuja in so many forms, hautaji
kujaza anyforms, ukitenda mema…
atakuchukuwa bila uniform..
Yeye hananga mambo, ukiwa na jambo,
wewe mtafute, atakupa kamambo,
Pre-chorus
Wacha nikusho siri moja huitaji awards
kuingia heaven, wacha nikusho siri moja,
huitaji digiri kuingia heaven ×2
Binguni hakuna digiri, Mungu wangu hana
digiri, malaika hawana digiri, Adam na Eve
hawakuwa na digiri ( digiri ×6)

download Nyimbo mpya