Muziki Lyrics By Darassa And Ben Pol

download

Intro

Rudi utotoni, usipotembea kibebwa
mgongoni
255 champion boy niite bwana
samata

Verse 1

Unaota mapembe uongezee mkia,
Na ukinibeep tu nakupugia,
let me make one thing clear,
bruh bruh bruh sitaki kusikia.
Sio simba sio chui Sio mamba,
shangwe inatosha kujigamba,
Na sina maneno kwenye kanga
kazi juu ya kazi yani bamba to
bamba.
Sa unawenza kuzaa kizaa kizaa,
sinzia na fegi uchome kibanda
walale uote ndoto zako za kitanda
si bado tuko macho mida ya wanga,
funga mkanda kaza na kamba
Ama ufate yaya uchane msamba,
pasua miamba pasua anga,
tunasemanga chambua kama
karanga. .
Chorus
Hee, tosha na muziki, acha maneno
weka muziki.
Ukiwa sad, ukiwa hap’ ukiwa juu
ukiwa chini piga mziki.
Yeeeye, safari na muziki
Acha maneno weka muziki.
Yeeey, Kile unachopenda, na ukitaka
kucheza, cheza muziki.
Bambata, shika kamata, rhumba
sakata.
Hapo ka mchizi shadata, shadata aaa

Verse 2

Wataka kukimbia na huna
break….what do you expect
Bongo, Congo kwa Thabo Mbeki,
cheza lokasa ya mbongo
huweskumeki.
Watch yourself usije ukajiconfuse.
Msupa wa kuruka reggae kwenye
blues,
kula mchuzi…no excuse .
Maisha yetu ya kila siku kama vile
movie.
Vitu vingine havitakagi ujuaji,
utajikuta unatandikia watu jamvi,
kusubiria embe chini ya mnazi.
Kumwelewesha chizi utajipa kazi.
Funga mkanda, kaza na kamba.
Ama ufate nyayo uchane msamba,
pasua miamba, pasua anga.
Tunasemanga chambua kama
karanga.
Eeh uuuwiiiii
Bishana Muziki, wacha maneno
weka muziki
Ukiwa sad, ukiwa hap’ ukiwa juu
ukiwa chini piga mziki.
Yeeeye, safari na muziki
Acha maneno weka muziki.
Yeeey, Kile unachopenda, na ukitaka
kucheza, chez muziki.
Wanatamani tupotee kwenye map,
tunapeleka game to the top, hasara
toja ,and we don’t stop, don’t stop
and we don’t stop
Wanatamani tupotee kwenye map,
tunapeleka game to the top,hasara
toja and we don’t stop, don’t stop
and we don’t stop.

Ben Pol, Darassa, muziki

download Nyimbo mpya