Acha Nikae Kimya Lyrics By Diamomd Platinumz

download

Diamond Platnumz “Acha Nikae Kimya” Lyrics

Verse 1

Mama ananiambia Nasibu we ni mtu na
mimi
Ndo nakutegemea jaribu kupiga kimya
Usidiriki hata kuongea
Mara nasikia vya aibu Konda ,Gwajima
Eti ugomvi umekolea
Kuchunguza karibu ni binti mmoja
Kwa karibu anachochea
Najaribu kunyamaza ila moyo hautaki
Unaniambia eti Simba japo nguruma
Uisemeee haki
Oooh najaribu kunyamaza hata Laizer
hataki
ooh
Anasema walau nina kidogo
Na mashabiki Dangote
Wananiambia mbona husemi chochote
Ah si upo nao siku zote
Ama ulezi unafanya uogope
Aaah na media pande zote
Wanalalama kiongozi atoke
Eh nchi inaingia matope
Niende wapi na mimi mtoto wa wote

Chorus

Yaani lawama, acha nikae kimya,
Nisiongee, kimya (ooh ninyamaze mimi)
Nikae kimya nisisemee (kimya)
Mama kaniambia (wacha nikae kimya)
Ooh nifunge m[u]domo (kimya), mimi
bado
mudogo nisiseme (kimya)

Verse 2

Ni mengi majaribu najatahidi epuka yasije
nicost
Japo mengine swadakta mengine hayana
maana
Rafiki kipenzi wa karibu hata nyimbo yake
sikuweza ipost
Ila alipokamatwa iliniumiza sana
mitandaoni kila kona
Uongo na ukweli unashonwa kila nyumba
inanong’ona, ahh, ooh Tanzania
Mara kibembe Dodoma Bunge pinzani
wamegoma juzi akapotea na Roma
Ohh Tanzania ooh
Najaribu kunyamaza Makame hataki ohh
ananiambia walau nena kidogo
Nyumbani nafungwa geti niende kwa
Mangi
kununua super gate
Napewa za chini ya kapeti kuna redio
imevamiliwa eti
Ehh, napita kwenye magazeti nakuta lundo
la watu wameketi
Ehh badala ya kutafuta senti wanabishana
tu
mambo ya vyeti

Chorus

Acha nikae kimya, oooh nisiongee, kimya
Ninyamaze kabisa Nikae kimya
Oooh ulinikoma kimya
Usije kuniponza wacha nikae kimya
Ooh nifunge bakuli langu kimya, nikojoe
nikalale nikae kimya
Mi bado mudogo saana Kimya mama
kaniambia
Bridge
Najiuliza wapi (wapi) najiuliza wapiii,
tunakwenda wapi
Wapi, kila siku maneno, wapii, hatuwajengi
jamaa
Mimi na wewe ni taifa moja, Kambarage
baba mmoja
Sasa tofauti za nini tushikamane
tukaijenge
Tanzania

download Nyimbo mpya