Aminia Lyrics By Nyashinski

download

Yeeeh
Niko hapa kuwapa mziki mzuri wako
hapa tu kuwa famous
Ama juu waliskia marapper
hupendwa na madem, basi wanajiita
lyricist kwa hizo interviews, na Mimi
tu ndio nimetoa lyrics video ikahit
amillion views
Yeah. Ni
Eti Nyash hii area si ulikam na
ubaya
Iko watu husema heri ata
ungekwamia ulaya
Umerudi wasanii wakaanza
kuambiwa waretire
Secular lakini unaandika gospel fire
Si live a lie, najua ntasound nikaa
Niko madre
But juzi walai nilipanda matatu na
Trey
Na siuzi mayai, nimetoka mbali I
say na siishi rongai
True story
Klepto si mtarudiana lakini
hatujawai achana, tunarudiana
kwanini
Na majaliwa inshalah mi nahawa
vijana wawili tutazidi sana kando na
kukosana niamini
Tuspiane akili mi nina kichaa
Waambie waache kujichokesha
ulimi mi ndio teacher
Enyewe manze wataacha lini,
kujichocha
Juu ni clear tukismama ao na mi ni
mi mnapreffer
Aminia oh nananana na na na na 5
Aminia Ah ah ah ah ah aie. *3
Kuna tenje yangu flani heri ibaki
mteja tu
Au nkitoka niiachange kwa keja tu
Najua ikilia ni mtu anataka favour tu
Kila conversation ni ka dejavu
Maisha imejaa na watu fake si
uongo
Na visu za kunidunga nikiwageuzia
mgongo
Washasense nitakafunga so
wananyemelea
Siwezi afford kumwaga unga
najitegemea
Sieki imani kwa binadamu Mimi
Naweka imani kwa God si kwa sanaa
Ah Mimi
Kaa sikupendi sikufichi, no
pretending ata simu zenyu mi
sishiki
Nikue pissed kwa nini, siko pissed
niamini
Mi Niko bied nago through vitu real
ka nyinyi
Mimi pia maybe tu argue beats au
beer
Hatuwezi argue ati iko rapper
anatoa hits kama mimi
Aminia oh nananana na na na na *5
Aminia Ah ah ah ah ah aie. *3
Philosophy ya kirevolve world
chema chajiuza
Sijiweki na Don Larry ama martin
Luther
Nani Huyo CNN wanainterview, sio
mimi
Nikianza hii kitu ni watu wafew
waliamini
Nabii hakosi heshima isipokua kwa
nchi yake
Kwa jamaaa zake, na nyumbani
mwake
Nabii hakosi heshima isipokua kwa
nchi yake
Kwa jamaaa zake, na nyumbani
mwake
Hii ni ya kila mtu nishawai uliza ka
anapenda rap akaniambia ako 50/50 yeah
Kila mtu anaconsider kuingia hii biz
ya mziki
But ameambiwa ati mziki hailipi
Kukua hapa  jua ni passion but si
kazi ata
Ka we ni rapper juu ni fashion
hatukutaki apa
Hii ni ya yule msanii alihangaika na.
Alianza na guitar
anaimba for free na ataendelea
atakua anajua ata ajalipwa
Hii ni ya mtoi yoyote ako na dream,
siku moja jua ni wewe wataita king
Jione umepanda stage na umeshika
Usiwai sahau mahali umetoka juu
umefika.
Sichoki sichoki sichoki
Style nyingi kushinda menu ya
kinyozi
Naweza try wengine hawatoshi
Aminia aminia aminia
Ah ah ah ah ah aiye aminia
4

Aminia Lyrics, Nyashisnki

download Nyimbo mpya