Rosella Lyrics – H_Art The Band ft Lady Jay Dee

download

Rosella Lyrics – H_Art The Band ft Lady Jay Dee

Afraid to tell him how she feels
She silently whispers to herself
Afraid, holding her breathe, maybe he
might
hear her.
See, he doesn’t feel the same way, Maybe
H_Art the Band Lady Jay Dee
Verse 1
Nikaja kupenda na moyo wangu wote,
Binti huyu aliyenyefanya nimuote,
usiku na mchana nikawa nikama
nimepagawa
Sionekani popote nikaja kutenda mambo
Mengi magumu na mazito
Ilimradi niwe naye lakini sasa
ninapotazama
naona kwamba niliachwa upweke.
Nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda
kinyama kukutenda sikuwaza
Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka
sasa
Nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda
kinyama kukutenda sikuwaza
Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka
sasa
Chorus
    Rosela, mi najiuliza
    Rosela, Je umebadilika
    Rosela, nashindwa kuamua aaah ×2
Verse 2
Ni ukweli niliamua kuondoka.
Nikidhani nitapendwa niendako
Ooh hakuna
Oh mi nilidhani nitakuta tofauti
hio yote mpaka sasa sijaona
Moyo waniuma nikikumbuka
Mambo mengi we ulinikosea
Najiuliza je ni kweli umebadilika
Na maumivu mi nayarudia
Masikini nashindwa amua
Ooh nashindwaaa ×2
   Rosela, mi najiuliza
    Rosela, Je umebadilika
    Rosela, nashindwa kuamua aaah ×2
Verse 3
Yani ilikua siku mingi sana hatujazungumza
SMS zangu hurudishi, please call me zangu
hunijibu
Simu hushiki
Na najua hiwezi kua ni simu ulipoteza
Juu social media nimeona selfie zako
Na ile top flaini kali nilikubuyia ya dashiki
Kweli ni kukumiss nimekumiss tena sana
Na najua umenimiss pia  unanilenga tu juu
tulikosana.
Ego yako iko juu, ulikuaga dem wa
maringo.
Lakini siteti, nilikupendaga tu ivo ivo
na ni tangu unitoke stress iko juu tu sana
Sura imejaza wrinkles, kila time
najipata tu nimekasirikia vitu simple
simple
Hata jokes na pimples nacatch hawa
wakishow
tu madimples.
Yani kosa walisema si kosa, kosa nikurudia
kosa,
na najua unajua ulikosa but huwezi kubali
Umekosea, nishakuzoea, ni sawa tu
Nishakusamehea unaact selfish
But kuishi bila we, machozi siwezi daily,
Kukula kwa hoteli, si unajua mi ni mlazy.
Malkia, smile tamu crescent shape ya
mwezi.
Sipendi tukikosana
Napenda tukichora saba kwa saba love
heart
Si unajua nakupenda tu kwa sana pamoja,
Tembea Dar, Kenya, Moshi, Arusha
Tunajirusha rusha, spending karibu dolce,
gabana mwanaume si unajua ni kukazana,
shopping
Maspaghetti, crop 9months later baby
shower
Na pamper nimeshika rada, latha
First born anakaribisha brother.
Twende nyumbani nikuinteoduce kwa
mother
Mrasta ameshapata the other
Rudi Nyumbani
    Rosela, mi najiuliza
    Rosela, Je umebadilika
    Rosela, nashindwa kuamua aaah ×2

download Nyimbo mpya