Siku kama ya leo September 13, mwaka 1996 alifariki rapa maarufu duniani Tupac Amaru Shakur

download

Siku kama ya leo September 13, mwaka 1996 alifariki rapa maarufu duniani Tupac Amaru Shakur alipokuwa akitibiwa kwenye Hospitali ya Chuo cha tiba huko Nevada nchini Marekani ikiwa ni baada ya kupigwa risasi September 7 ya mwezi huo huo.

2 Pac alikuwa kwenye pambano la ngumi la Bruce Seldon Vs Mike Tyson na alienda kwenye pambano hilo na bos wa Death Row Records Suge Knight kwenye ukumbi wa MGM Grand mjini Las Vegas, Nevada.

#VibeMtaani cc #SammisagoNEWS

Vibe Download Button

Leave a Reply