Prezzo Amesota : CMB Prezzo Aanza Kuuza Majembe

download

Nimeanza biashara ya kuuza jembe kwasaabu wakulima nimeshtukia Ni wengi ila hawana jembe wana bundles tu. Duka linaitwa AMBPRE jembez na tunatoa jembe mia tano bure na free delivery pia. Jembe za kwanza mia mbili ni bure @amber___lulu kasema atasimamia na mi ntasimamia jembe mia tatu ili tuweze kuboresha ukulima Africa Mashariki. Mungu awabariki na muwe na weekend njema.

download Nyimbo mpya