Mbeleko By Rayvanny ( Lyrics )

download

Mbeleko By Rayvanny ( Lyrics )

Rayvanny “Mbeleko Lyrics”

Wasafiii
Mmmmh
Alisemanga dunia ina mapambo yake eeh
Ukiacha majumba pesa magari ni
wanawake eeh
Nimezunguka aah, nimefika kwake eeh
Siwezificha nimeshanasa
Kwa pendo lake eeh
Halabaani
Kakuumba kimwana, mwenye sifa ya upole
Ata mama kakusifu sana, kitofauti na
wale (wajana)
Kule nilizama tafadhali niokoe mamamaa.
unipulize nipoe
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie
tu nikubebebe)
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie
tu nikubebebe)
We kama mtoto mii nakubembeleza
(jiachie tu
nikubebe)
Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza
(jiachie tu nikubebe)
Eeeh ummmh umh
Umenivuta kwa urembo mpaka matendo
umenikamata
Kisura shepu sio tembo taweka nembo
watoto
kupata
Umenivuta kwa urembo mpaka matendo
umenikamata
Kisura shepu sio tembo taweka nembo
watoto
kupata
Koleza motoo tupike tembele
Kisamvu cha nazi njegele
Sisi kutishe kelele sikwachi iih
Linda na shamba wasije ngedele,
Kuku niitee kwa muchelee
Mii sipigani na wewe manatii iih
Ndio manaa kwako nimezamaa sitaki mii
Wanitowee mama maaa
Unipulize nipoee
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie
tu nikubebebe)
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie
tu nikubebebe)
We kama mtoto mii nakubembeleza
(jiachie tu
nikubebe)
Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza
(jiachie tu nikubebe)
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie
tu nikubebebe)
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie
tu nikubebebe)
We kama mtoto mii nakubembeleza
(jiachie tu
nikubebe)
Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza
(jiachie tu nikubebe)
Eeeh ummmh umh
jiachie tu nikubebe
jiachie tu nikubebe
We kama mtoto mii nakubembeleza
Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza
Ayo Lizer

download Nyimbo mpya