Msanii mkongwe wa Tanzania amekemea tabia mbovu ya lebo wasafi records.Hii ni kwa tuhuma za kutumia baadhi ta mistari yake.
Matonya ameongeza kuwa anaipenda kazi wanayoifanya wasafi ila wanafaa kudumisha heshima.Kivyake haitaji kufidiwa kama walivyo fanya kwa saida karoli ila heshima tu.”Nduguzangu wasafi / Nawapongeza sana kwa kazi mzuri mnazo zifanya / Nilifurahi Sana mlichokifanya kwa saida karoli dadaetu/ mlimuita mkamshirikisha akawapa Baraka zake/ kwangu mlishindwa nini? Sina shida Ya Pesa nina shida Ya heshima cose najua dunia ni mapito/ kama mimi naibiwa haki yangu vipi wasanii wachanga? Basata mkowapi? Wadau Wa muziki mkowapi? Usipo ziba ufa tajenga kuta!! Khaaa tena Bila woga lakini haki itafata mkondo wake -“Matonya