Kauli Ya Wema Sepetu Kuhusu Wimbo Wa Ali Kiba #SeduceMe

download

Many artists are giving their feedback towards #SeduceMe by Ali Kiba.

Here is what Bongo actress Wema Sepetu posted on her Ig concerning the new hit #SeduceMe

“ I have something to tell Alikiba… Baba Tunashukuru kwa Mziki mzuri, unatukomesha sana… Unatupa shida masaa yote nyimbo inakuwa kwenye Repeat… Yaani sijioni naskiza nyimbo nyingine zaidi ya #SeduceMe … @elizabethmichaelofficial Najua nimesema nyimbo ila ushanielewa .. Na ninatambua kwamba hili ni janga letu sote… Sijaathirika peke yangu na Seduce Me…. Kwa mara nyingine tena natoa shukran zangu za dhati kabisa kwako Bwana Bichwa… “

Vibe Download Button

Leave a Reply