Alichokisema Mwana FA Kuhusu #SeduceMe

download

Rapa Mwana FA aliyewahi kufanya wimbo wa Ali Kiba ‘Kiboko Yangu’ ameandika ujumbe huu mfupi baada ya kusikiliza wimbo mpya wa Ali Kiba #SeduceMe .

Binamu anasema >Kuhusu Wimbo Wa Ali Kiba #SeduceMe> Hii #SeduceMe inakurekebishia mood kabisa…wimbo wa ajabu!

download Nyimbo mpya