Entertainment

Jacqueline Wolper Amwinda Harmonize Tena

Written by Vibe Mtaani
download

Msanii wa Bongo Flava kutoka label ya WCB,
#Harmonize amefunguka mambo kadhaa kuhusu aliyekuwa mpenzi wake, Jacqueline Wolper.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Shulala’ ameiambia XXL ya Clouds Fm kuwa anafurahi kuona anapata support ya Wolper katika muziki wake. “Nadhani mwanzo ilikuwa hasira tu, nashukuru kuona support ya Wolper, namchukulia kama shabiki yangu tu” amesema Harmonize.

Hiyo juzi katika mtandao wa Instagram Jacqueline Wolper aliposti video mbili zikimuonyesha akifurahia kusikiliza ngoma hiyo ambayo Harmonize amemshirikisha Korede Bello

#Mseto255

About the author

Vibe Mtaani

EA Showbiz Mogul

2 Comments

Leave a Reply

Discover more from VIBE MTAANI

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading