Bora Nife ~ Aslay Ft Bahati | Lyrics

download

Mwili umejaa vidonda donda ,Kisa
kupenda aah
Naitwa bwege, naishi kwa kuonga onga
sabuni chooni namaliza mimi
kwa nini jamani
kama mwajuma
nilimpa simu, cha ajabu kanipora
salima
hataki mapenzi, anataka pochi
magugu avelina
baada ya kumpa gari, eti hanitaki
nguvu sina eeh woololoh aih
bora nife,
huenda nitakumbuka pengine mmh
bora nife,
huenda nitakumbuka pengine ai
kwani nasubiri nini duniani, nasubiri nini
kwani nasubiri nini duniani, nasubiri nini
aaih

BAHATI
Ai niliempendaga mwenzagu, Akaumiza
roho yangu tu
Kaniwazisha niwe padre, Nihudumie
kanisani
Aah aaah
Nikaongopaga mapenzi tu
Tena usiwe unasumbuka, Kutoa uhai
ASLAY Ya nini

BAHATI
Usije mlaumu aliyekuacha zamani
ASLAY Zamani

BAHATI
Ukikata na roho, Utajibu nini
Siku ya kihama, Kama dayana

ASLAY
Nilimpa simu cha ajabu Kanipora
Penina hataki mapenzi, Anataka pochi
Mamaivana baada ya kumpa gari Eti
hanitaki
Nguvu sina eeh woololoh ai
Bora nife,Bora nife
Huenda nitakumbuka pengine, Labda
nitakumbuka ai
Bora nife,Bora nife
Huenda nitakumbuka pengine, Labda
nitakumbuka ai
Usiseme usiseme
nasubiri nini duniani, Nasubiri nini
duniani
usiseme
nasubiri nini duniani, Nasubiri nini
duniani
Japo ujaniwishigi Kwenye birthday yangu
Ila usikose mazishi, Kwenye msiba wangu
ooh
Japo ujaniwishigi, Kwenye birthday yangu
Ila usikose mazishi, Kwenye msiba wangu
ooh
a

Vibe Download Button

1 COMMENT

Leave a Reply