Walidhani ati tunamalizia Round 1, wee wacha
sit back relax fam, wee wacha
niko na Mbithi on this ayeeee
Kamba Boy (aahhhh) basi get em’
(Mbithi)
Yeah
Young Bolo na Mr Rozari za Goro
Right left me nakata nina makali za Zoro
Bado niko kwa stereo tangu nikiwa mono
Wako chekechea bado ile design ya Lamba lolo
Mistari bado mob ziko kwa wingi ka za Tiger
Hittin at the Game I’m tryna turn her to my Aida
Utamu ndo inazidi me asali never bigiji
Makmende lead …