Nishachoka By Harmonize

download

Harmonize msanii wa Wcb Wasafi amefungua roho na kusema ya moyoni kuhusu mahusainao yake ya kimapenzi. Msanii huyo amekuwa akizungumzwa sana baada ya kumtema mpenzi wake ambaye pia ni msanii mwigizaji wa bongo movie, Jackline Wolper.

Harmonize

Mkali huyo wa ‘Niambie’ ameachia wimbo mpya kwa jina ‘Nishachoka ‘ huku akizungumzai maneno anayoyapata mitaani ya mwigizaji huyo, Wolper akitadai kuwa bado anampenda Harmonize wakati yupo na mrembo mwingine kutoka Italy.
Harmonize baada ya kuachana na kulichoka penzi la Wolper, aliwahi mrembo huyo wa Italy kwa jina Sarah na kwa sasa anadaiwa kuwa na ujauzito wa msanii huyo wa bongo fleva na huenda wakabarikiwa mtoto karibuni.

#VibeMtaani cc #MitegoEA

download Nyimbo mpya