Lyrics for Malingo by Willy
Paul
oooh aaahh aaaaah oooh
aaah
(Teddy B)
Nimetafuta mchumba kwa
muda mrefu(zigidy)
Nasipati mchumba(zigidy)
Kwani Willy sina sura(zigidy)
Ama simjui jah jah
Kwani Willy sina sura aaah
Ama simjui jah jah
Kwani wenzangu tu
wanabarikiwa tu
Na mi nalengwa tu
Basi nibariki kama yule
mwisho
yuko na kati kiuno
Mapepo zikicome
wanazipiga karate iiee
(kataaaaa!)
ooouooouooo malingo ya nini
ooouooouooo malingo ya nini
Siuache malingo
Baby si uache malingo
Siuache malingo
Baby si uache malingo
Wacha malingo
Baby si uache malingo
Wacha malingo!
Tupa malingo!
Lenga malingo!
Nataka mtoto wa president
Mi najua provider wa
president
Unataka kakitu
Mungu ndiye wa kakitu
Si takudanganya danganya
danganya danganya boo
Mtoto wa Mungu(mtoto wa
mungu)
Pesa makaratasi eeeh
ooouooouooo malingo ya nini
ooouooouooo malingo ya nini
Siuache malingo
Baby si uache malingo
Siuache malingo
Baby si uache malingo
Wacha malingo
Baby si uache malingo
Wacha malingo!
Tupa malingo!
Lenga malingo!
uuuuuu
Jamani nakufwata usiku
mchana
Silali
Njoo utulize mtima wangu
Silali
Baby njooooo unitulize
mtima wangu baby
Wanizingua moyo
I wanna be with you
Marafiki wako wote
watakudanganya
Unipe kisogo
Utafute tena umeleta malingo
Jambo my baby boo
I got some questions for you
How do you feel when you
ringia me?
How do you feel when you
chezea me?
How do you feel?
How do you feel?
How do you feeeeeeeel?
Si uache malingo eeeh
(malimalimali)
Baby si uache malingo
Si uache malingo eeeh
(malimalimali)
Baby si uache malingo
Wacha malingo
Baby si uache malingo
Wacha malingo!
Tupa malingo!
Lenga malingo!
eeeeh (malimalimali)
Malingo maamaa
eeeeh (malimalimali)