Lyrics: Fid Q ft Diamond & Rayvanny -[Fresh Remix]

download

Fid Q

Nikipata cash nakuwa fresh kama cucumber
Nikiwa na dash nakuwa mjeshi bila full ngwamba
Kwenda resi sioni kesi Mr Kubanda
Nikijiset sikwepeshi naweka juu chanda
Sio mtu wa kila mtu ila ni mtu wa watu
Mtu shapu kuntu na ni mtu wa mbavu
Sio mtu kavu huyu mtu ana utu na love
Lakini sio mtu wa kila mtu na sio mpumbubavu
(Remiiix)
Diamond
Diamond Platnumz
Nilivyosikia beat tu nikatamani nifanye verse
Nikamcheki Ngosha akaniambia simba mbona fresh
Upesi upesi nikaandika ni-murder kesi
Na sasa ngoma kitaani imenuka kama Kinyesi
Am still young kabla sijaitwa Chibu denga
Enzi hizo naitwa domo sikuhizi
Eti lips denda fresh
Baba Tiffa ama niite baba Lillan
Naskia naitwa baba Abdul eeh
Kuna mambo mitaaani fresh
Mzuka ukipanda ukate viuno kama vanga
Kwa beat ya kubanda inayobakwa na muuza karanga fresh
Ukinichukia sikosi ela hivyo kwangu sio kesi
Kunicompare na cinderella haiwezi kuwa fresh
Simbaa toka mbuga ya Tandale naona swala wanaforce
Tuwe saresare viuno vidogo wanataka pensi ya pepekale
Siwalitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale

RayVanny

[Chorus]

Fresh fresh fresh fresh
Waambie mjini shule wasitamani vyote vimelipiwa
Kama ukipenda vya bure leta sahani utapakuliwa
Kipofu kuendesha gari fresh
kwenda kwa miguu zanzibar fresh
Wabunge kucheza kamari fresh
Masela kula ganja na askari fresh

Fid Q

SilverFox kama ..
Naitwa boss na nina boo ka babangida
Fresh off the board niko zanzibar
Nasmell karafuu nikuwa na kandiba
Fresh kama pipi ya miti pipi ya binti
Vipi ile pipi ya ..

Rayvanny

Rayvanny

[Chorus]
Waambie mjini shule wasitamani vyote vimelipiwa
Kama ukipenda vya bure leta sahani utapakuliwa
Bakhresa kuokota sisal fresh
Kula chapati kwa kijiko fresh
Rihanna kuimba mdundiko fresh
Uncle Magu kwenda disco fresh

Fid Q
..
Fresh fresh fresh fresh
Eti ni fresh Kubanda na wabana pua au katika
Miiko ya hiphop atakuwa amezingua

download Nyimbo mpya