Music Lyrics

Lava Lava “Dede Lyrics”

download

Lava Lava “Dede Lyrics”

Verse 1

Niamini ee mimi mwingine sina darling
Na sikufunzwa mbaya tabia
Mahaba niue mimi kwako chali chali
Ndani donda funza nishagajifia
Bora kukueleza imenishinda siri
We ndo umeniweka Kiganjani
Na ni kiteleza unikoshe na mwili
Chonde usije nieka visangani
Nawe chunga kauli zinaponza
Zitafanya tuwe maadui maadui
Kinywa tia kufuri na macho fumba
Usije kutamano mabedui
Mabeduii iii

Chorus

Dede dede
Simama wakuone you are my number one
Dede dede
Sitaki mwingine you are my only one
Dede dede
Simama wakuone you are my number one
Dede dede
Mi Sitaki mwingine you are my only one

Verse 2

Natamani makosa yasingekuwepo
Tusikoseane Ooh babe yoyo
Na samahani ingekuwa kama kichekesho
Tuchekeshane eeeh.
Oh bila choyo
Naweka wazi shahidi moyo wangu
We ndo fundi wa raha zangu
Kachumbari uzandu uzandu kwako bwelele
Mkuna nazi mwali kwa matandu
Mi pweza na ngurupandu
Unavyo mix na chachandu sinaga kwere
Basi chunga kauli zinaponza
Zitafanya tuwe maadui maadui
Kinywa tia kufuri na macho fumba
Usije kutamani mabedui
Mabeduii iii

Chorus

Dede dede
Simama wakuone you are my number one
Dede dede
Sitaki mwingine you are my only one
Dede dede
Simama wakuone you are my number one
Dede dede
Mi Sitaki mwingine you are my only one (

download Nyimbo mpya

Leave a Reply