Kiki Inamaliza Muziki Wetu – Nay Wa Mitego

download

Msanii maarufu wa bongo fleva Nay wa mitego amechemka kuhusu hatma ya muziki wa bongo.

Kupitia ujumbe alioandika kwenye kurasa wake wa instagram,mkali huyo anadai kiki inamaliza muziki wa bongo.Kama vile muvi za bongo zilivyopotea,bongo fleva unapotea .

“Baada Ya Miaka Miwili Mitatu Ijayo Tukiendelea na Huu Ujinga, Naiona Bongo Flava Ikiingia Shimoni Kama Wenzetu Wa
BongoMovie .! Kick Kubwa Kuliko Muziki Wenyewe. Yani Muziki Unasindikiza Kick. Baada Ya Kick Kusindikiza Mziki Mkubwa.! #NguvuYaKitaa Tukutane #TanganyikaPacker’s“

Leave a Reply