Music Lyrics

Jux “Utaniua” Lyrics

download

Jux “Utaniua” Lyrics

Iyeeeeei,Iyeeeeeiiye,Iyeeeeei,
Imekua asubuhi,uwanja wa mapenzi moyoni
umechafuka,
Nami sitaki,kufagia upendo uende,
Nina jua yangu roho ni ndogo ni ndogo hasa
ikipenda-e
Ndio maana ukiwa tofauti baby, unaniumiza
ndani ndani(iyee),
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza,
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza,
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby,
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza(haaa),
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza(haaa),
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby
(haaa),

Hey! Utaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
My baby utaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
Ooh utaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
Ooh babe utaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
(Utaniua ua),

Nilijichangachanga ilimradi upendeze(ha),
Nikajibanabana minisijikweze(ha),
Sikutaka kugombana nikupoteze baby,
Ilimradi niwe na wewe,
Kibaya zaidi(naumia na upendo wako my
love),
Ulisema mpaka kifo mama(ha)tungelizikwa
wote,
(Tungelifa wote),
Ila unanikatisha tamaa(ha),mimi sitaki
uende.
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza(bado),
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza(bado),
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby
(bado),
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza(bado),
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza(bado),
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby,

Hey! Utaniua ua(haaaha)hey(haaaha,
My baby utaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
Ooh utaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
Ooh baby utaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
We mama wee unaniua ua,(We mama
wee)unaniua ua,
We mama wee unaniua ua,(We mama
wee)unaniua ua,
We mama wee unaniua ua,(We mama
wee)unaniua ua,
We mama wee unaniua ua,(We mama
wewee),
Unaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
Oh baby Unaniua ua(haaaha),
Wewe unaniua ua(haaaha)heiyeiye(haaaha),
unaniua ua(haaaha)mh-hei(haaaha),
Unaniua ua
your love your the one,you love the
one,you love the one,Your love
your love the one,your love the one,your
love the one,Your love
your love the one,your love the one,your
love the one,Your love
your love the one,your love the one,your
love the one,Your love

download Nyimbo mpya

Leave a Reply