Harmonize – Shulala lyrics ft Korede Bello

download

Kwanza upendo baraka nikuchunge
Nitajisumbua we jichunge tu mwenyewe
Na sikufunzwa taraka
Mangapi ulinikosea
Ila bado nipo na wewe
Hata waniite zoba waseme umeniroga
Kukuacha ndo siwezi
Nimeridhia
And she is my number moja
Wengine watangoja
Niongezee mapenzi
Nizidi kolea aaah

Pale napokwona aaah
Shulala shula
Yarabi moyo shulala shula
Pale napokusikia
Shulala shula
Shula wangu
Shulala shula

I want you to know that
I will be there
I will be there
Till the end
So dont let babe
Dont let nobody
Come interfere
Say what they want you to say

Girl i promise you forever
I will never leave you never
Anywhere you go
I go i go

Pale napomwona aaah
Shulala shula
Jamani moyo shulala shula
Pale napomsikiaga
Shulala shula
Shula wangu
Yarabi moyo

Unizalie kacute
Kama Tiffah dangote
Uvae shela mi suti
Upendeze tutoke
Tukomeshe wenye chuki
Mamluki la kusema wakose
Tulisakate buzuki
Na wavimbe wapasuke
We ndo hodari mtunza siri zangu
Hata nkiwa siina
Wanivumilia na kuamini nitapata
Tafadhali nilindie roho yangu
Cha kukupa sina
Tena nakuapia
Haki ya Mungu sitokuacha
Na kama ukinipenda
Nitaringa nitaringa
Nitaringa nitaringa
Nitaringa nitaringa
Nitaringa na we
Nitaringa nitaringa
Nitaringa nitaringa
Nitaringa nitaringa
Nitaringa na we

Vibe Download Button

Leave a Reply