Music Lyrics

DOWNLOAD – Holy Dave – Ushai Notice (Lyrics)

download

Intro
Na reminisce siku Kenya was respected
Siku tulikua recognized, siku tulikua ranking
Man, but let’s be real, saa hii tunaishi tu vi-reckless, but Kenya ni yetu hatuwezi relocate
Hatuwezi run away… Lord…restore us …redeem us …revive us
Verse 1
Ushai notice, kuna leaders wakona character but siurudisha the same old characters
Ushai notice, siupigana damu inatrickle down then hakuna kitu inatrickle down
Ushai notice, siuingizwa box wanalost tunawacheki tena kwa ballot box
Ushai notice, wametuzoea kaa tissue but as a citizen what’s my role hio ndio issue
Ushai notice, watu tuligrow nao, sai social media tunatukanana nao
Ushai notice, tuki chill tuki party… no one asks unasupport which party
Ushai notice, Church siuimba open the flood gate then upendo unapotea tukifika kwa gate
Ushai notice, growing up tribe haiku matter, what happened what is the matter?
Chorus
Saa ingine mi huskia kuleft, but nakumbuka kuna HOPE left X3
Aki Mungu admin saidia Kenya, or at least what’s left
Verse 2
Ushai notice, tuko divided anyone can tell but tukichokozwa hashtag someone tell
Ushai notice, hatukuangi united well, unless kuna game ndio unaskia Go Go Man United
Ushai notice, issue ya Kenya sii gova, sii polisi, ni policies
Ushai notice, issue sii age ama gender, issue ni leader ako na agenda?
Ushai notice, city safi mi nataka we unataka tunazidi tupa takataka?
Ushai notice, everyone anataka barabara but hatuchagui viongozi barabara
Ushai notice, watu una hold down hu disappear ile siku uko down
Uhsai notice, watu utushow tudemonstrate, hawaleti family zao kwa street ku illustrate
Chorus
Saa ingine mi huskia kuleft, but nakumbuka kuna HOPE left X3
Aki Mungu admin saidia Kenya, or at least what’s left
Verse 3
Ushai notice, shida ya Kenya sii poverty shida ya Kenya ni mentality
Ushai notice, kila mtu ana 24 hours, but wengine hawataki kufanya kazi cheki hawa
Ushai notice, hakuna shortcut brathee bidii bidi tu
Ushai notice, Yesu anaeza change your background haters waseme ni photoshop
Ushai notice, tumekataa kusoma bibilia ndio unacheki bwana na bibi wanalia
Ushai notice, tumekataa kusoma Constitution ndio maana wanatu con kwa kila situation
Ushai notice, news za Kenya zinafaa tu ziitwe bad news
Ushai notice, Citizens wana power, sisi ndio landlord na tunawapita notice
Outro
Eh nguvu yetu ibariki Kenya yetu
Haki iwe ngao na mlinzi ibariki Kenya yetu
Iyee ooh iyee iyee ooh iyee X2

download Nyimbo mpya