GUARDIAN ANGEL – REJEA (Official Lyrics )

download

. lyrics mpiga ngumi
ukuta mwenyewe naumia ni vya nini vioja eeh
bwana tulia. haja gani kungoja wakati unaumia
uchungu mwingi unaupitia unavumilia
yupo bwana yuangoja atakupokea
kwa wanaojua umekosa atakutetea
ameziba sikio wano kusemea
hiyo mizigo ilo mizito atakubebea cho rejea
atakupoke
na ya pili nafasi atakupatia
ingawa body hekalu umelichafua
kwa zake nyingi rehema anasamehea
fadhili zake ni za milele namsifia
yake macho naona unayo pitia
yakidondoka machozi atakufutia
naikutoshe neema ukimsogea
hiyo mizigo ilo mizito atakubebea. cho rejea
atakupokea.