Gossip

Diamond Platnumz Aibiwa Kofia Mjini Dodoma

download

Kioja kilitokea mjini dodoma baada ya msanii diamond Platnumz kuibiwa Kofia yake na shabiki.

Jambo hili lilimkera sana diamond ambaye aliwaagiza walinzi wake waisake Kofia hiyo. Muda hukupita na Kofia ilikuwa ishapatikana.

Watumizi wengi Wa mitandao walihisi Diamond Platnumz angepotezea tu na labda kununua Kofia nyingine. Wasilolijua ni kuwa ile sio Kofia ya kawaida tu. Cha msingi, Diamond alidai Kofia Ile inavaliwa na nguo nyingi mno.

Kofia iliyoyakuliwa na shabiki Wa diamond Platnumz ni ya timu ya Celtics inayoshiriki mchezo wa NBA .

Inakadiriwa thamani ya Kofia hio ni takriban dolla 35 hadi 75 . Bei hii inaweza kuenda juu ila inategemea ukubwa na ilipoinunuliwa. Na ikiwa umepewa na mchezaji wa Celtics basi inaweza kuwa na thamani ya juu zaidi.

 

download Nyimbo mpya

Leave a Reply