Alichokisema Lulu Baada Ya Hukumu Yake

download

Hii hapa ujumbe Lulu alipitisha baada ya kusikilizwa kwa kesi yake.

” MWENYEZ MUNGU ULILIJUA HILI KABLA MIE SIJALIJUA HIVYO SIWEZ KULIKWEPA NI MTIHANI WANGU KATIKA MAISHA.miaka mi 2 JELA, Jaman mbaki salama mie ndo ivo naenda kuanza MAISHA mapya ya JELA cha msingi kuombeana tu JELA ni nusu kabur kule sina mengi zaid ila kwa mashabiki zangu marafiki ndugu ntawakumbuka kweli anyway hata nikilia sana haitosaidia acha nkakomae kila binadam ana mapito yake Ewe Mwenyez Mungu nitangulie pekeangu siwez.”

Lulu amehukumiwa miaka miwili gerezani.

download Nyimbo mpya