Harmonize “Niambie” Lyrics

download

Harmonize “Niambie”

Intro

Wasafi
Mhhhh
Wasafi Records
Mhhhh

Verse 1

Mujini kipenzi
Siraha ni shillingi babe
Kupendana zamani
Ndo wanavyosemaga Wazuri ni wengi
Ila uongo mwingi babe eiih
Wakisha viona vya ndani
Basi wanakumwaga
Ndo maana ukichelewa dukani
Mie Kamoyo kananidundaga
Nawaza isije Mangi jirani akakuonga kilo ya
unga

Bridge
Oooh oooh
Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano
kipande
Bora nikuweke wazi ya nini nikufiche
Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi
Ndo chanzo Mpaka wengi wadange
Niweke wazi nikipi kinafanya unipende

Chorus
Niambieee (Tell me babe loove)
Ooh basi Niambie (Vipi unanipenda ingali
sina doh)
Niambie
Oooh basi niambie (Tell me babe love)
Oooh basi niambie
Usije nitenda ukaniumiza roho

Verse 2
Siku hizi magari ya wakongo
Mapesa mara nyumba Mbezi
Usinichanganye na ubongo nidate kisa
mapenzi
Nsije kuwekea ndumba
Umenipendea rumba
Vipi nikija kudunda
Ohh ooh Usije mgezea punda
Ukaniachia ngunga
Mbona kumendea chungwa

Bridge
Ooh ooh mbaya zaidi sina kazi
Nakosa senti tano kipande
Bora nikuweke wazi ya nini nikufiche
Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi
Ndo chanzo Mpaka wengi wadange
Niweke wazi nikipi kinafanya unipende

Chorus
Niambieee (Tell me babe loove)
Ooh basi Niambie (Vipi unanipenda ingali
sina doh)
Niambie
Oooh basi niambie (Tell me babe love)
Oooh basi niambie
Usije nitenda ukaniumiza roho
Umenipendea hahahh
Kipi mama
Umenipendea hahahh
Basi sema
Umenipendea hahahh
Umenipendea nini ingali sina doh
Umenipendea hahahh
Tell me babe loove
Umenipendea hahahh
Ohh basi niambie
Umenipendea hahahh
.. Unanipenda ingali sina doh

download Nyimbo mpya