Chaguo La Moyo ~ Otile Ft Sanaipei Tande | Lyrics

download

Oh baby nooo

Mi nakuchagua wewe, Wewe uwe wangu
Mume wangu, Baba ya watoto wangu
Kupendwa na wewe majaliwa, kukuoa
baraka
Mshikaji wangu wa maisha, Ooh baby I
love you
And for you, mi nabadili mienendo yangu
baaba
baby for you, mi naukimbia ujana

CHORUS
Nijenge boma nawe, nawe
zae watoto nawe , nawe
Niwalee pamoja nawe, nawe
Nizeeke paamoja nawe, nawe
Natakaa nijenge boma nawe, nawe
zae watoto nawe , nawe
Niwalee pamoja nawe, nawe
Nizeeke paamoja nawe, nawe
Chaguo la Moyo, Chaguo la moyo

Na kwenye madhabau unavyo ng’aa
Unavyopendeza kwenye hilo rinda
Oh baby I knew you were the one for me
Oh baby you are the one for me

I can tell the way you smile the way you
laugh
The way you talk, the way you walk
Baby you are the one for me
I swear you are the one for me

CHORUS
And for you, mi nabadili mienendo yangu
mama
Baby for you, mi naukimbia ujana wangu
Nijenge boma nawe, nawe
zae watoto nawe , nawe
Niwalee pamoja nawe, nawe
Nizeeke paamoja nawe, nawe

Nataka nijenge boma nawe, nawe
zae watoto nawe , nawe
Niwalee pamoja nawe, nawe
Nizeeke paamoja nawe, nawe
Chaguo la moyo, chaguo la moyo

download Nyimbo mpya