Utawezana Lyrics By Femi One Ft Mejja

download

[ Intro – Femi One]
Femi, ndo ule Mejja, ndo ule Mejja
Si ulikuwa unadai kuchapiana naye
Ishia ishia ishia
[Ricco Beatz, Mr 808]

[Verse 1]
[Femi One]
Okonkwo pole nimekuja ghafla (Usijali)
Ni vile we hukuwa umenibamba
[Mejja]
Aah Femi One pia kwangu we ni msoo
Kwanza vile ulituosha kwa ile verse ya ‘Ligi Soo’ eeh
[Femi One]
Nakupenda manze we hukuwa mhumble (Asante)
Legend, kwangu we ni icon
[Mejja]
Aah stori za icon kwanza weka mbali
Femi One mi hukuwa nimekutamani
[Femi One]
Eeh, Okonkwo umeanza kunichocha (Ah zii)
Nishow ni wapi uliniona
[Mejja]
Aah Femi One (Eeh) we unibamba
Kwa Instagram nikicheki izo mapaja

[hook: Femi One and Mejja]
Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana)
Nikikupea utawezana? (Nitawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda tumbler

Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana)
Nikikupea utawezana? (Nitawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda tumbler

[Verse 2]
[Mejja]
Iko haga yako iko
Naipenda ka mke nyumbani na mwiko
[Femi One]
Mejja umeanza kuniflirt, aaah
Unataka kunikula kama plata
[Mejja]
Hiyo kifua nataka kuichambua
Mi nataka kukulamba mpaka ushindwe kupumua ah
[Femi One]
Kidesign umeanza kunibamba
Nikikupea usiende kutangaza
[Mejja]
Ah, hiyo ni siri (Wazi) ka pin number
Sitaambia mtu sitaambia hata King Kaka
[Femi One]
Haina noma leo utanikula
Lakini ka ni ndogo usishinde ukikuja (Aaah)

[hook]
Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana)
Nikikupea utawezana? (Nitawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda tumbler

Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana)
Nikikupea utawezana? (Nitawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda tumbler

[Verse 3]
[Femi One]
Napenda machali wako na swagger (Okay)
Nikicheki fashion yako hapana
[Mejja]
Femi One hao machali looku looku
Ni looku tu lakini hawana kakitu
[Femi One]
Ah! Nataka kurombosa hadi chini
[Mejja]
Ah! Nataka kuikota huko chini
[Femi One]
Ah! Napenda kupakua nikiwa juu
[Mejja]
Ah! Siteti, napenda hiyo view
[Femi One]
Fungua bonnet (Okay) toa screw (Aha)
Mbona unanidai na usiniambie uongo
[Mejja]
Ah! Nakudai juu umetoka ghetto
Na we ni manzi hardcore manzi mathongo

[hook: Femi One and Mejja]
Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana)
Nikikupea utawezana? (Nitawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda tumbler

[Outro: Mejja]
(Ah! Femi Uno, mtoto wa Khadija)

download Nyimbo mpya