Swadakta – Guardian Angel [LYRICS]

download

[Chorus]
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha
yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha
yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa

{Verse One}
Swadakta nawe,
Safi nawe,
wangu mtima unabubujika nawe,
natamani tu kukamata selfie nipost ili watu
wajue niko sambamba nawe
Swadakta nawe,
Safi nawe,
wangu mtima unabubujika nawe,
natamani tu kukamata selfie nipost ili watu
wajue niko sambamba nawe
Maombi uliyasikia
Milango ukanifungulia
Izo ma blessing nikazipokea eeh
niko sawa Sawa
Maombi uliyasikia
Milango ukanifungulia
Izo ma blessing nikazipokea eeh
niko sawa Sawa

[Chorus ]
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha
yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha
yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa

{Verse Two}
Niko swadakta kwako tu ndio mi nadata ,
kile naitisha ni napata enemies unawascatter,
kwako tam kama kashata niko sawa
Niko swadakta kwako tu ndio mi nadata ,
kile naitisha ni napata enemies unawascatter,
kwako tam kama kashata niko sawa
Maombi uliyasikia milango ukanifungulia izo
ma blessing nikazipokea
Niko sawa
Maombi uliyasikia milango ukanifungulia izo
ma blessing nikazipokea
Niko sawasawa

[Chorus]
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha
yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha
yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa

[Bridge]
Niko swadakta walonicheki kwenya street
wanajua, ooohh wanajua,
niko swadakta walonicheki kwenye slum
wanajua, ohhhh wanajua,
Niko swadakta walonichi kwenye cell wana
wanashangaa,
niko swadakta nilowaomba pa kulala wanajua
kwamba unainua,
kama uliniinua, nao utawainua wawe swadakta
wawe Sawa Sawa

{Chorus}
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha
yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha
yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa