Siri Ishatoka! Wimbo Mpya Wa Rayvanny Unatuhuma Za Wizi

download

Rayvanny ni msanii mzuri mwenye uwezo mkubwa sana. Licha ya kuzua taji la kimataifa,jipya limechipuka.

Katika uongozi wa  Wasafi Records ni bayana kuwa wanawake na skendo mbali mbali zitamaliza lebo hiyo maarufu barani .

Baada ya Rayvanny kudondosha dude jipya SIRI aliyomshirikisha Nikki wa pili,duru za kuaminika zinahoji kuwa huo wimbo umeibiwa kwa mwanamziki ibuka, Planet Chico. Msanii Planet Chico.akatuma ngoma yake kwa mshikaji wake wa karibu huko kwa Wasafi,baadae alisikia melodi na vocals kwa nyimbo mpya ya Rayvanny. Hi imekuwa kero na hata siku haijaisha na habari iko kote mitandaooni.

Hii si mara ya kwanza kwa wasanii wakubwa kuwadhulumu wasanii wengine haswa wale ibuka. Rais wa wasafi records,Diamond Platinumz pia alikuwa na kesi dhidi ya wizi wa nyimbo na idea ya ngoma Zilipendwa n wasanii wengi ikiwemo Anastacia Mukabo na pia Matonya .

Rayvany kando na wanawake na ndo yake iliyojaa utata na mke wake kunyemelewa na kambi ya Ali Kiba,naye kaiba wimbo huu wake mpya Siri.