Verse 1 – Rich Mavoko
Sauti na tabasamu lako
Ndio linafanya nikukumbuke
Kinachoniumiza mwenzako
Unapolia chozi nsifute
Mapenzi sidhani mimi
Kilichobaki ni uadui
Kuniona hautamani kwanini?
Kweli maziwa nimegeuka tui
Nami nina moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina moyo mama
Upate siku moja uje niona
Nami nina moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina moyo mama
Ungalisema neno moja ningepona
Chorus – Rich Mavoko
Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi?)
Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi?)
Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi?)
Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi?)
Verse 2 – Patoranking
Sickness Sickness Sickness small me
Well me yes, you are dumping me
In this wicked World
Baby every one needs a company
My heart bleeds
For your Love
Girl i bleed for your love
Me, Me can imagine
If u know dey me, what a sad ting
(aaaaaeeeeeh)
I cant imagine
You inna me life girl what a sad ting
Nikiwa nawe mwenzako ndo napona
Na nikilala usiku ndotoni nakuona
Ukipata mafua me napataga homa
I wanna be your Lover, your friend and
your owner
Verse 3 – Rich Mavoko
Kwa mawazo silali mama yangu
Basi rudi ooh
Natamani ulitaje jina langu
Makusudi ooh
Nami nina Moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina Moyo mama
Upate siku moja uje niona
Nami nina Moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina Moyo mama
Ungalisema neno moja ningepona
Chorus – Rich Mavoko
Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi?)
Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi?)
Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi?)
Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi?)
Outro – Rich Mavoko & Patoranking
(Wasaaaafi)
Nimefuta na mabaya yako (ayeeh)
Sikutishi me kinyago wako (ayeeh)
Ninachotamani ni uwepo wako (ayeeh)
Kwenye nafsi upo peke yako (ayeeh)
Please don go (ayaya)
Girl please don go (ayaya)
Please don go (ayaya)