PIGO !! Hamisa Mobetto Apoteza Kesi Dhidi Ya Diamond Platinumz

spot_img

Msanii maarufu tanzania Diamond Platinumz,rais wa wasafi amepata afueni baada ya kesi iliyopelekwa mahakamani na mpenzi wake wa kando,Hamisa mobetto,kutupiliwa mbali.

Mwanamitindo Hamisa Mobeto amekwaa kisiki mbele ya Diamond Platnumz baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upande wa Watoto kutupilia mbali kesi aliyofunguliwa mwanamuziki huyo juu ya matunzo ya mtoto Prince Abdul.

Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Novemba 10 ,2017 na Hakimu Devotha Kisoka wa Mahakama hiyo baada ya kusikiliza hoja za pande hizo mbili husika. Diamond aliwasilisha pingamizi dhidi ya kesi hiyo iliyofunguliwa na Mobeto akidai kuwa kesi hiyo imefunguliwa kwa kutumia kifungu ambacho si sahihi. Hoja ambayo ilipingwa na Mobeto.

Mobeto alifungua kesi hiyo mahakamani hapo, pamoja na mambo mengine anaiomba matunzo ya mtoto waliozaa na msanii Diamond. Mobeto anaiomba mahakama imwamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto ya kila mwezi na alifungua kesi hiyo kupitia mawakili wake Abdullah Lyana na Walter Godluck kutoka kampuni ya uwakili ya Century Attorneys. Kupitia hati hiyo ya madai, Mobeto anaomba Diamond amuombe msamaha kwa kumsababishia madhara yaliyoishtua familia yake.Diamond aliwasilisha hati ya majibu hayo kinzani akipinga maombi hayo ya Mobeto akidai gharama anazodai kulipwa kwa mwezi ya Sh 5 milioni kwa ajili ya matunzo ya mtoto ni kubwa hawezi kuzimudu.

spot_img
RELATED POSTS

Download | Hamisa Mobetto – Murua | Mp3 Audio

0
Hamisa Mobetto – Murua

Download | Murua Mp4 – Hamisa Mobetto

0
Hamisa Mobetto – Murua

Rick Ross Confirms Dating Hamisa Mobetto

0
Rick Ross has confirmed dating Tanzanian socialite Hamisa Mobetto.

Download | Hamisa Mobetto – Pop It Mp3 Audio

0
Hamisa Mobetto - Pop It Mp3 Download Audio DOWNLOAD

WHAT'S NEW

MwanaFA Ft Lady Jaydee – Alikufa Kwa Ngoma Mp3 Download

0
MwanaFA Ft Lady Jaydee – Alikufa Kwa Ngoma Mp3 Download DOWNLOAD

MwanaFA – Bado Nipo Nipo Mp3 Download

0
MwanaFA – Bado Nipo Nipo Mp3 Download DOWNLOAD

MwanaFA – Unanitega!? Album

0
MwanaFA – Unanitega!? Album Download DOWNLOAD

Centano – Story mp3 Download

0
Centano – Story mp3 Download DOWNLOAD

Download | Yatapita Mp4 – Diamond Platnumz

0
Diamond Platnumz – Yatapita Mp4 Download DOWNLOAD

Download | Dj Lisney – Bongo Mix

0
Dj Lisney – Bongo Mix Download DOWNLOAD

Download | Nilimpenda Sana Mp4 – Vanillah

0
Vanillah – Nilimpenda Sana Mp4 Download https://youtu.be/jebVjne_kO0 DOWNLOAD