Hatimaye marashi ya Chibu yaanza kuuzwa na kutumika marekani na watu mashuhuri.
Kulingana na Huzi Forum,mastaa kibao wa marekani wakiongozwa na shakira kutumia chibu pafyumu. Inaidaiwa Rick Ross ambaae ameshirikishwa na
Diamond katika wimbo wa waka waka ndie chanzo cha uuzaji wa pafyumu hizo za chibu kuwafikia mastaa wa marekani.
Rapper Rick Ross alipost picha mtandaoni (katika ukurasa wake wa instagra) huku akiwa ameshika
pafyumu hizo hali iliyozua gumzo
kwa mastaa wa marekani na hatimaae mrembo Shakira kuanza kuzitafuta pafyumu hizo. Imegundulika biashara ya Mondi imenoga kwani pafyumu zake zimeanza kuuzika sana katika mitaa ya New York na Los Angles.