Nyimbo 15 maarufu za wasanii tajika Tanzania zimepigwa marufuku kuchezwa kwenye runinga na pia redioni. Kati ya wasanii walio kwenye listi ni ikiwemo rais wa wasafi Diamond Platinumz,na kiongozi wa Free Nation,Nay Wa Mitego.
Kwa mujibu wa TCRA,nyimbo hizo hazina maudhui na maadili kwa utamaduni wa mtanzania na zilishafungiwa na BASATA.
BASATA wametibitisha kuzipiga marufuku na kazi ya kuzifungia ni ya TCRA.
TCRA imeviandikia barua vituo vyote vya redio na Tv kutozicheza nyimbo hizo.
- Hallelujah – Diamond
- Waka waka – Diamond
- Kibamia – Roma
- Pale Kati – Nay
- Maku – Nay
- Hainaga Ushemeji – Manfongo
- I am sorry JK – Nikki Mbishi
- Chura – Snura
- Nimevurugwa – Snura
- Tema mate – Madee
- Uzuri wako – Jux
- Nampa papa – Gigy Money
- Nampaga – Barnabas
- Bongo bahati mbaya – Young Dee
- Mikono juu – Nay
Nyimbo hizi zimepigwa marufuku hazitakiwi kwenye vituo vyote vya Redio na TV.
Do you have a story you want told? Do you know of a sensitive story you would like us to get our hands on? Email your news TIPS to admin@vibemtaani.com