Nyashinski – Hayawani Lyrics

download

Kabla Suala ukamilishe Mama,
Tafadhali Mola mwambie,
Milele anichunge mi nisije zama,
Mashetani yasinivamie.
Chuki,wivu tunakutesa,
Linda kwako usiwaskie,
Kwa nini hatuwezi sote kupenda,
Oii wenzangu acha niwaambie,
Labda si sote wendawazimu!
Labda laana yetu pesa
Kesho ukipoteza kila kitu,
Dunia nzima itakucheka.
Wanaomba nitiwe chai yangu sumu,
Wabaki hao ndio kusema,
Kesho wapigie demu yangu simu,
Asahau alivyonipenda! ooo Hayawani
Hayayayaya…. Hayawani …

download Nyimbo mpya