Wakali wa sauti nchini Tanzania ni Kiba na Diamond. Licha ya wote wawili kuwa na mafanikio makuu,wafuasi wa wawili hawa hawapatani hata.
Uhasama wao hauna mfano.Kila mmoja anajiona gwiji kivyake.
Je kwa maoni yako,nani mfalme wa muziki wa Tanzania?
Dondosha jibu lako?