Nandy “Wasikudanganye” Lyrics

download

Wasikuambie kwamba mimi eti sina lolote
Labda wakuambie sina ujanja juu yako
Wasikudanganye watakupa utakacho
chochote
Wataitoa wapi furaha yako
Maana wabaya hawatoki mbali
Jirani yako we ndio anapenda usile
Hawatokubali kuona bendera ya penzi lako
inapepea
Hawatokujali kipindi ambacho mawazo
Yanafanya usile watakutupia mbali
Si ulisema unataka gari na nimekubali
kuenyeka mie
Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi
nivumilie
Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali
kitanzi
Kuninginia si tumetoka mbali
Mazoea na ushakuwa maua
Moyo moyo wangu mimi
Unauendesha moyo moyo
Funga macho na masikio Ziba moyo moyo
Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo
Umegota kwako moyo wangu moyo moyo
Auuu uuh moyo moyo Usiwaone pia
Kukosa majaribu moyo usije
Tia donda ukauchubua maumivu yani
adhibu
Kisa upendo furaha kuichua
Kwenye kosa niadhibu nami mwanadamu
Siku ntakosea kukuacha
Sijaribu wapi niende nami kwako nishajifia
Ila usifanye kama fimbo
Ufanane na tindo ukashindwa kujali
maumivu yangu
Si ulisema unataka gari na nimekubali
kuenyeka mie
Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi
nivumilie
Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali
kitanzi
Kuninginia si tumetoka mbali
Mazoea na ushakuwa maua
Moyo moyo wangu mimi
Unauendesha moyo moyo
Funga macho na masikio Ziba moyo moyo
Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo
Umegota kwako moyo wangu moyo moyo
Auuu uuh moyo moyo Usiwaone pia
Ouuhh moyo moyoo huu moyo
Moooooyo heyyyy huu moyooo oh moyooo
wangu
Mimi ah moyo moyo funga macho moyo
moyo uuh baby

download Nyimbo mpya