Nandy – Kivuruge Lyrics

download

Ulienipa maumivu me kama nyang’au
Na tena maumivu dawa ninywe vidonge
Kwa marafiki mashosti ukanidharau
Ukanitia uvivu stress niwe mnyonge

Oh oho ulie nipa maumivu me kama nyang’au
Na tena maumivu dawa ninywe vidonge,
hmm
Kwa marafiki mashosti ukanidharau
Ukanitia uvivu stress niwe mnyonge

Leo sina thamani ndo maana
Unawafata milupo oh baba
Leo sina thamani eeeh ndo maana
Unawafata milupo oh baba, we niache

Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (we niache)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (aaah ooh)

Mara ugomvi unakurupua unanitukana mimi
Hata zawadi nikikuretea hausemi asante
Tena na share hata bila kujua wewe uridhiki kwa nini
Kuna wakati nilijisumbua mwenzangu
usiwaze
Kwangu moyo we unauchanganya a
Umekuwa kivuruge unavuruga sana baba we
Kitugani kwako mi sijafanya, eeeh
Ama kuna mtu mnapendana sana

Leo sina thamani ndo maana
Unawafata ma sister duu ooh baba
Leo sina thamani eeh ndo maana
Unawafata ma sister duu ooh baba, we
niache

Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (nitapona
kidogo kidogo)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (nitapona
mimi)
Nitapona mdogo mdogo nitapona
Aiyoyoiyoooh

Vibe Download Button