Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake
Kila kitu Kiko better Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better Ibilisi ananyeta Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better Inazidi kunyesha Ibilisi ananyeta Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better Inazidi kunyesha Asifuye mvua imemnyea Namsifu ju amenitendea, Maajabu, maajabu Ata wewe ukimkujia Najua atakutendea Maajabu, maajabu Kuna wenye dhambi, wengine takatifu Jua likiwaka linawawakia wote Wengine janjajanja Wengine waaminifu Mvua ikinyesha inawanyeshea wote Kuna wenye dhambi, wengine takatifu Jua likiwaka linawawakia wote Wengine janjajanja Wengine waaminifu Mvua ikinyesha inawanyeshea wote
“Kila kitu Kiko better— Guardian Angel
Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better Mungu wangu anapenda penda penda Na sa ndio maana minadeka deka deka Mungu wangu anapenda deka Penda deka Anani penda nadeka Mungu wangu anapenda penda penda Na sa ndio maana minadeka deka deka Mungu wangu anapenda deka Penda deka Anani penda nadeka Nikimwita anacome through Ndo maana namsifu Maombi anajibu Yeiiy Kuna wenye dhambi, wengine takatifu Jua likiwaka linawawakia wote Wengine janjajanja Wengine waaminifu Mvua ikinyesha inawanyeshea wote Kuna wenye dhambi, wengine takatifu Jua likiwaka linawawakia wote Wengine janjajanja Wengine waaminifu Mvua ikinyesha inawanyeshea wote Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better