Murder – Willy Paul | Lyrics

download

[Intro]
hahahaa
sal di di do
(Who do you think you are young man
Pozze)
hehehehehe
Bizzi B

[Verse 1]
Eih!
Wacha niombe in tounges raka kapapa
katah!
Eh!Eih!
Wacha niombe in tounges raka kapapa
katah!
Eih!
Heeey…mmmmh
wanaonijua,wanajua navyo penda mke
wangu weh
wanaonijua,wanajua navyo penda na
mwana wangu pia
wanaonijua,wanajua navyo penda familia
yangu

[chorus]
sababu wanataka kuni murder
wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
24/7 unilinde
wanataka kuni murder
wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
365 unilinde

[Verse 2]
ju me na nga’nga’na
nipate unga
nilishe mwana na familia
mke wangu sina kazi
lakini bado unanipenda
Oh baby nashangaa ulikubali vipi kuwa
wangu mimi
baby nashangaa ulikubali vipi na urembo
huo wote
wenye ma Rangi Rover
wanataka kuni murder
naomba unishikilie,wangu maulana
Uooooo,Uooooo
Nilinde na mke wangu
Uooooo,Uooooo
Ilinde familia yangu

[chorus]
sababu wanataka kuni murder
wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
24/7 unilinde
wanataka kuni murder
wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
365 unilinde eh eh eeeh

[Verse 3]
Eih!Eiiih!Eiiih!
Wacha niombe in tounges raka kapapa
katah!
Mke wangu amekataa deali za ma sponsor
raka kapapa katah!
wameshindwa kuni murder
Wacha niombe in tounges raka kapapa
katah!
familia iko bomba
Wacha niombe in tounges raka kapapa
katah!
wanaonijua,wanajua navyo penda mke
wangu weh
wanaonijua,wanajua navyo penda na
mwana wangu pia
wanaonijua,wanajua navyo penda familia
yangu
Uooooo,Uooooo
Nilinde na mke wangu
Uooooo,Uooooo
Ilinde familia yangu

[chorus]
sababu wanataka kuni murder
wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
24/7 unilinde
wanataka kuni murder
wachukue wangu mama
(I’ll have t take of you coward!:Boss out to
kill Pozze)
Me naomba unilinde
365 unilinde eh eh eeeh

[Verse 4]
Baby,cause of the love that I have for you
nitakuombea
(Nooooo!You’ll have to take me out
first:Pozze’s wife)
Yuko wapi Dj Mo,aaje tuombe in turns
raka kapapa!
Yuko wapi Sadic,aaje tuombe in turns
raka kapapa!
(Nooooo!You’ll have to take me out
first:Dj Sadic)
(What do you know about love you rasta?)
24/7 unilinde
(What is it with you and this love..eh you cowards?:Boss out to kill Pozze)
wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
365 unilinde eh eh eeeh

[Outro]
Uooooo,Uooooo
Nilinde na mke wangu
Uooooo,Uooooo
Ilinde familia yangu
Uooooo,Uooooo
Nilinde na mke wangu
Uooooo,Uooooo
Ilinde familia yangu
(Love is a big guy my dear:Boss out to kill
Pozze)
(Love is the greatest commandment

Leaving A Comment and Sharing This Post With Your Friends,You Stand A Chance To Win $5 Worth of Airtime TODAY!

download Nyimbo mpya