Guardian Angel ~ Utafurahi | Music Lyrics

download

UTAFURAHI LYRICS

Chorus
Anatengeneza ushuhuda wako.ooh
mwisho wa siku kweli utafurahi sana 2
Sana Sana Sana
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana
2

Verse 1
Giza ni jingi wakati kunakaribia kucha .
Kukicha utaona mwanga utafurahi sana
Tatizo la mtoto naona linakukera sana kukicha
utapata mtoto utafurahi sana
Tatizo la kazi jamani lina kukwaza sana kukicha
utapata kazi utafurahi sana.
Sana sana sana
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana
Wakati mwingine Mungu anakujaribu tu oooh
Aone imani yako

Vibe Download Button
big Masterz africa

Leave a Reply