Kenya rappee based in Norway,Stella Mwangi also know as STL has news for you.

” Prrrrr’ Ngai Fafa mafans wangu East Africa 🏿 Sio taabu wala kukosa mistari ama sijui bla bla bla kunifanya niwe kimya, ila ni njia na ajenda tofauti ki kazi zimenibidi nisiwape mnacho endelea kuniulizia kila siku kwenye DM na inbox. Nimesha ziona message zenu zote, nawashukuru sana kwa upendo wenu. Nami nawapenda wohteh!!! ️ Hii maisha ya sanaa kisanii ni safari inayohitaji tena sana ujasiri, utulivu na muhimu kushinda yote, ujuzi kutoka mwenyezi 🏿. Hivyo basi ningependa kuwa ahidi kuwa kunazo makombora moto moto jikoni jo – tusha zipika zimebaki kupakuliwa ili mzile nyote 🥘 mshibe na mzinyambe puh . Nawashukuru sana kwa support mnayo endelea kunipa over 15 years kwenye hii industry (na bado I’m unbeatably talented usidanganyike). To all the Hiphop MCees, msikae hapo kimalamala the realest bado nipo. Mambo hivi hapa ni Hollywood moves tu representing all female artists 🇰🇪 🇹🇿 🇺🇬 🇳🇬 🇳🇴 🇷🇼 🇿🇦 Africa! Hii pesa ya ulaya ni lazima ichotwe ili niendelee kuwapa familia na wazazi lishe daily. I love you, and I miss you cúcú. Click the link in our bio to get the successful
#StellaMwangiHollyWoodEP (sio buree jamaa) …EP NUMBER 2 is heating up! Mungu awabariki na awalinde nyote.”